iqna

IQNA

shia na sunni
Waislamu wa Oman
TEHRAN (IQNA) - Msikiti mkubwa zaidi wa Oman kwa Waislamu wa Madhehebu ya Shia ulizinduliwa katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu, Muscat.
Habari ID: 3476137    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/23

Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Hujjatul Islam Hamid Shahriari wa Iran amemwalika Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar Misri Sheikh Ahmed al-Tayyib kutembelea Iran kwa ajili ya mazungumzo kuhusu umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3476081    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, kundi kuu la upinzani la Bahrain, amekaribisha wito wa Shekhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar Sheikh Ahmed el-Tayyib wa mazungumzo ya baina ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni.
Habari ID: 3476072    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/11

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu hautasalimu amri mbele ya madola yenye nguvu na kusisitiza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu hivi sasa imekuwa mti imara uliostawi ambao ni muhali hata kufirikia kwamba unaweza kung'olewa.
Habari ID: 3475926    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/14

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na maulamaa na wanazuoni wa Ahul Sunna wal Jamaa nchini Iran na kusisitiza kuwa umoja wa Shia na Sunni ni suala la kimkakati huku akitilia mkazo umuhimu wa kuzuia kujipenyeza wakufurishaji nchini.
Habari ID: 3475255    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuhusu mchango usio na kifani wa Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu-MA-) wa kuleta umoja kati ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Sunni.
Habari ID: 3474462    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/23